SOKO KUU LA MCHINGA JIJINI DODOMA KUFUNGULIWA RASMI JULAI MOSI

Na Barnabas Kisengi-Dodoma Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma JOSEPH MAFURU  amesema ujenzi wa soko la wamachinga wa Jiji la Dodoma  umefika  asilimia 95 kukamilika na wanategemea ifikapo Julai mosi mwaka huu wafanya biashara hao wahamie na kuanza kufanya biashara zao katika soko hilo. Mategemeo tarehe 1 mwezi 7 mwaka huu ambapo hadi Sasa  wafanyabiashara 3000